Mbinu bunifu kwa mustakbali wa viwanda

Karibu ClearLife Solar Solutions

Ufunguo wa mafanikio yetu ni kusogeza vifaa kila kona na kutoa msaada husika kwa wateja.

 

Wateja wetu wa mda mrefu na wasambazaji wetu wa kuaminika kutoka kila kona ya dunia wanafanya hili liwezekane kwa kutumia utaalamu na kufanya kazi kwa kujitolea.

 

Lengo letu si ukuaji tu, lakini kuwa na uendelevu kwa faida ya pande zote.

ClearLife ni msambazaji anaeongoza katika kusambaza
  • vigae vya jua.
  • betri za jua.
  • invata za jua.
  • nishati endelevu ya jua.

Tunabuni ufumbuzi endelevu tu.

ClearLife inaendeleza mfumo wa nishati ya jua unaojali mazingira na viumbe hai.

Nishati ya jua ni nishati mbadala. Lengo letu ni kumsaidia kila mmoja kuunda mifumo yenye kufaa na kuokoa gharama katika kuzalisha nishati ya bure kwa matumizi ya kila siku.

Kaa mkao wa kula na ClearLife Solar kupata taarifa.

Ofisi zipo karibu kila kona ya dunia

Ili kuwa karibu na wasambazaji pamoja na wateja tunafanya kazi kwa ukaribu na mawakala wazawa katika nchi nyingi za Ulaya, China na Africa.