DHAMIRA YETU:
Tunasaidia watu na mashirika kutumia nishati ya jua kwa ajili ya mahitaji ya kila siku.
Tunasaidia watu na mashirika kutumia nishati ya jua kwa ajili ya mahitaji ya kila siku.
Tunaamini ya kwamba ufunguo na chanzo kikubwa cha kufikia mafanikio yetu ni kuwa na wataalamu waliojitolea kufanya kazi kwa bidi kubuni, kudumisha na kuendeleza yenye tija na kuridhisha pande zote
Tunaamini kwa dhati kwamba uhusiano daima upo kwenye biashara.
kuwa msambazaji wako chaguo la kwanza
daima kuweka bei rahisi kuliko zote kwenye soko
kutoa huduma na bidhaa zenye viwango bora tu