OFF GRID Nje ya gridi ‘’ ClearLife Solar Solutions” ni bidhaa rahisi ilioendelezwa ili kuhudumia watu binafsi pamoja na kaya ndogo ndogo. Makadirio ya nguvu ya nishati ya jua inaanza 50W hadi 10000W
Portable OFF GRID “ClearLife Solar Solutions” ni mfumo rahisi kubebeka na rahisi kuendeshwa bila ya kuhitaji ujuzi mkubwa – ni kuchomeka na kuanza kutumia kwenye nyumba yako, hema,nje au wakati wa dharura.
OFF GRID ya kupachika ukutani “ClearLife Solar Solutions” ni kifurushi kilichotengenezwa tayari kimejumuisha paneli za jua (vigae vya jua), invata ya jua na betri za jua kutegemea na mahitaji ya kaya