Portable AC solutions (220/110 V)

Portable AC solutions (220/110 V) with Lithium battery

Portable AC solutios (220/110 V) yenye Lithium betri ni nyepesi na yenye kubeba vizuri. Ni nyepesi kwa sababu ya betri ya lithium.

Ufumbuzi wote ni wenye nguvu wenye kutoa umeme wa AC na DC. Mfumo wote una uwezo wa kuendesha simu. TV (Runinga), mashine ya kahawa, feni n.k. Nguvu za kutosha zipo kwa ajili ya taa nyingi zinaendeshwa na nguvu za betri.

Portable nishati fumbuzi ya jua CL-500

Maelezo

  • Kigae cha jua: 60W poly
  • Betri: 11.1V*40Ah Lithium
  • Sehem ya kutoa umeme: 500W=0,5KW Pure sine wave
  • DC out: 5V/2A and 12V/5A
  • DC ndani: 12V/5A (PV chaja)
  • Taa: 3W LED balbu pisi 2
  • Waya wa USB wa kutolea nje: 5V/4A*4pcs
  • 4 in 1 seti ya kuchajia: seti 1
  • AC output: 220V/50Hz
  • Muda wa kuangaza: Taa 2 za LED masaa 78
  • Muda wa kuchaji: masaa 6- 8
  • Vigae vya jua vya ziada ( vyenye hadi 250 W) vitapunguza muda wa kuchaji na kupanda na kushuka kwa nguvu.

Portable nishati fumbuzi ya jua CL-M1000

Maelezo:

  • Kigae cha jua: 275W poly
  • Betri: 26V*40Ah Lithium
  • Sehem ya kutoa umeme: 1000W=1 KW Pure sine wave
  • DC out: 5V/2A and 12V/5A
  • DC ndani: 30V/ 0-5A (PV chaja)
  • Taa: 3W LED balbu pisi 2
  • Waya wa USB wa kutolea nje: 5V/4A*4pcs
  • 4 in 1 seti ya kuchajia: seti 1
  • AC output: 220V/50Hz
  • Muda wa kuchaji: masaa 8- 10
  • Muda wa kuangaza: masaa 148

Nishat fumbuzi  ya TV ya  Sola 32’’ pamoja na taa, feni la darini na chaja ya simu

Ufumbuzi nzuri na imara uliojengwa na TV 17’ na kwa ajili ya taa, kuchaji simu sehem maalum kwa ajili ya feni la saizi ya kati.Ndani ya ufumbuzi huu mna kigae cha jua, boksi la nishati la Lithium betri na taa za nishati ndogo ( LED bulb)

Maelezo:

  • AC power inverter: 100W
  • Kigae cha jua: 30W/ pamoja na 6m cable
  • Betri: 14.8V/6600mAh Lithium
  • TV saizi: 32’’ LED display
  • DC output 4 porst DC 12V, USB port moja
  • Taa: 3W LED balbu pisi 2 na kebo yenye 5m zimejumuishwa

Taa za ziada, kigae cha sola kikubwa na  feni la juu au la kusimama na yanatolewa ikihitajika.

Pampu za maji za sola

Tunatoa pampu za maji zinazotumia nguvu ya jua