Seti (sehemu) ya vifaa vya sola

Sehemu (seti) ya vifaa vinavyojenga nishati ya jua

Mfumo wa nishati ya jua wa Nje ya-gridi kuu

Nje ya gridi katika istilahi ya matumizi ya nishati ya jua maana yake ni uzalishaji wa nishati ya jua unaojitegemea bila kuunganishwa na mfumo wa umeme wa kawaida au kwa maneno mengine power grid.

Sehemu kuu ni sola invata (kifaa cha kudhibiti umeme). Kiwango cha paneli za jua huwekwa kutegemea na nguvu ya invata. Kiwango cha betri za jua huwekwa kutegemea na matumizi ya nishati. Yote hii inatemea na jumla ya matumizi ya nishati katika nyumba (Taa, TV, friji n.k).